Luciano Ataka Rais William Ruto Kuhalalisha Bangi Kenya

Luciano Ataka Rais William Ruto Kuhalalisha Bangi Kenya

Msanii nyota wa reggae kutoka Jamaica, Luciano, ameibua mjadala mzito mtandaoni baada ya kumtaka Rais William Ruto kuzingatia hatua ya kuifanya Kenya kuwa miongoni mwa nchi za kwanza barani Afrika kuhalalisha bangi. Akizungumza na Radio Citizen, Luciano amesifu ushawishi mkubwa wa kitamaduni wa Kenya barani Afrika na duniani, akisema kuwa uhalalishaji wa bangi unaweza kufungua […]

Read More
 Luciano Aomboleza Kifo cha Raila Odinga

Luciano Aomboleza Kifo cha Raila Odinga

Msanii nguli wa muziki wa reggae kutoka Jamaica, Luciano, amejiunga na mamilioni ya watu duniani wanaoomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga. Kupitia ujumbe wake Instagram, Luciano ameeleza masikitiko yake kwa kumpoteza Raila aliyekuwa na nafasi kubwa katika historia ya Kenya na bara la Afrika. Ametoa pole zake kwa […]

Read More