Wasanii na wanahabari waomboleza kifo cha Raila Odinga

Wasanii na wanahabari waomboleza kifo cha Raila Odinga

Sekta ya burudani na vyombo vya habari nchini Kenya zimeingia katika majonzi makubwa kufuatia taarifa za kifo cha kiongozi wa upinzani na mwanasiasa mkongwe, Raila Amolo Odinga, ambaye amefariki dunia nchini India kutokana na mshtuko wa moyo. Kifo chake kimezua simanzi kote nchini humo, huku wadau wa sekta ya burudani na habari wakijitokeza kutoa rambirambi […]

Read More
 Raila Odinga afariki dunia nchini India

Raila Odinga afariki dunia nchini India

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80 nchini India, vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti. Kwa mujibu wa taarifa, Raila aliaga dunia kutokana na mshtuko wa moyo (cardiac arrest) alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Kochi, nchini India. Vyanzo vya karibu na familia vinaeleza kuwa Odinga […]

Read More
 Ben Githae akerwa na wanaomkejeli baada ya mrengo wa Azimio la Umoja kupoteza uchaguzi

Ben Githae akerwa na wanaomkejeli baada ya mrengo wa Azimio la Umoja kupoteza uchaguzi

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Ben Githae ameonekana kuchukizwa na kitendo cha mashabiki kuendelea kumkejeli hata baada ya mrengo wa azimio la umoja kupoteza uchaguzi mkuu uliokamilika. Akizungumza kwenye hafla ya kuchangisha pesa huko Mlima Kenya, Githae amekiri kuumizwa sana na kauli ya watu wanaokumbusha kila mara namna mrengo aliokuwa anaunga mkono wa Azimio […]

Read More
 MAWAKILI WA RAILA ODINGA NA SAUTI SOL WAKUTANA.

MAWAKILI WA RAILA ODINGA NA SAUTI SOL WAKUTANA.

Mawakili wa Kinara wa ODM Raila Odinga na wale wa kundi la muziki la Sauti Sol wamekutana kwa ajili ya mazungumzo ili kutatua mgogoro wa hakimiliki ulioibuka mapema wiki hii baada ya wimbo wa Sauti Sol “Extravaganza” kupigwa kwenye mkutano wa Azimio. Wakili wa kundi la Sauti Sol, Moriasi Omambia ndiye amethibitisha hilo kupitia ukurasa […]

Read More