Willy Paul Akarabati Duka la Pozze Liquor Baada ya Kuvamiwa
Staa wa muziki Willy Paul ametangaza kurejea kwa huduma katika duka lake la vileo, Pozze Liquor, siku chache baada ya wahuni kuvamia na kuharibu mali ya thamani ya mamilioni ya fedha. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Willy Paul ameeleza kuwa duka hilo limekarabatiwa kikamilifu, limejazwa upya bidhaa, na sasa limeboreshwa mara kumi zaidi. Hitmaker huyo […]
Read More