Willy Paul akosolewa kwa kutumia Kshs millioni 3.5 kuandaa video ya wimbo wake
Staa wa muziki nchini Kenya Willy Paul anazidi kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashabiki mbali mbali wa muziki baada ya msanii huyo kuweka wazi kuwa alitumia kiasi cha shillingi millioni 3.5 kuandaa video ya wimbo wake mpya ‘Keki’ aliyomshirikisha Bahati. Kupitia post aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram akijinadi kutumia kiasi hicho cha fedha kwenye […]
Read More