Willy Paul awasihi Wasanii wa Kenya kuacha kufanya Kiki katika muziki

Willy Paul awasihi Wasanii wa Kenya kuacha kufanya Kiki katika muziki

Mwanamuziki Willy Paul amewataka wasanii wa muziki nchini Kenya kufanya kazi kwa bidii na kuacha kutegemea kiki katika kukuza muziki wao. Kupitia Insta story yake, mwanzilishi huyo wa lebo ya Saldido amewashauri wanamuziki kupunguza kutengeneza kiki ambazo zitakuja kuwaaribia kazi zao siku za mbeleni na badala yake kuweka juhudi zaidi katika kuzalisha maudhui yenye ubora. […]

Read More
 Willy Paul awajibu wanaomsema vibaya mtandaoni

Willy Paul awajibu wanaomsema vibaya mtandaoni

Staa wa muziki nchini Willy Paul amewajibu wanaomsema vibaya mtandaoni kuwa ana kiburi tangu aanze kupata mafanikio kwenye muziki wake. Kupitia Instastory yake amesikitishwa na madai hayo kwa kusema kuwa ana haki ya kuwa na majivuno kwa sababu anajikimu kimaisha bila usaidizi wa mtu yeyote huku akitamba kuwa yeye ni msanii mwenye kipaji zaidi nchini […]

Read More
 Willy Paul awapa somo wasanii wa Kenya kwa kuiga muziki wake

Willy Paul awapa somo wasanii wa Kenya kwa kuiga muziki wake

Bosi wa Saldido International, Msanii Willy Paul ameibuka na kutema nyongo kwa wasanii wa Kenya kwa kile anachokitaja kuwa wamekosa ubunifu kwenye muziki wao. Kupitia instastory yake Hitmaker huyo wa “Tamu Walahi” ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa wasanii wengi katika siku za karibuni wamekuwa wakimuiga kwenye suala la utoaji wa nyimbo, kitendo ambacho amehoji […]

Read More
 Willy Paul afunguka ubaguzi unaoendelea kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya

Willy Paul afunguka ubaguzi unaoendelea kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya

Msanii Willy Paul a ameamua kutoa ya moyoni kuhusu namna madalali wamekuwa kizingiti kwa wasanii kupenya kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya. Kupitia instastory amesema amesikitishwa na namna wasanii wasiokuwa na vipaji wanapewa kipaumbele kwenye matamasha ya muziki huku wasanii wanaotoa muziki mzuri wakiambulia patupu. Amesema kenya ina wasanii wengi ambao wanafanya vizuri kimuziki lakini […]

Read More
 Willy Paul asherekea mafanikio yake ya muziki kwa kujizawadi gari aina ya Mercedes-Benz

Willy Paul asherekea mafanikio yake ya muziki kwa kujizawadi gari aina ya Mercedes-Benz

Staa wa muziki nchini Willy Paul amejizawadi gari aina ya Mercedes-Benz C-Class ambapo inatajwa kuwa ametoa kiasi cha takriban shilling millioni 6 kuinunua. Kupitia ukurasa wake instagram mkali huyo wa tamu wallahi ameshare video fupi ikionyesha muonekano wa gari hilo huku akisema amechukua hatua ya kujizawadi kutokana na mafanikio makubwa ambayo anazidi kupata kwenye kazi […]

Read More
 Penzi la Willy Paul lampa Jovial umaarufu mtandaoni

Penzi la Willy Paul lampa Jovial umaarufu mtandaoni

Msanii nyota nchini Jovial amekiri kupata mashabiki wengi wanaofuatilia kazi zake tangu atangaze kuingia kwenye mahusiano na Willy Paul. Kupitia insta story mrembo huyo ameshindwa kuficha furaha yake kwa kusema kwa kipindi chote cha maisha ya muziki hajawahi pata idadi kubwa ya watu wanaotazama nyimbo zake pamoja na kutembelea mitandao yake ya kijamii licha ya […]

Read More
 Willy Paul afikisha subscribers milioni 1 Youtube

Willy Paul afikisha subscribers milioni 1 Youtube

Nyota wa muziki nchini Willy Paul amefanikiwa kufikisha idadi ya subscribers million moja kwenye mtandao wa Youtube Channel ya youtube ya Willy Paul ilifunguliwa rasmi Mei 21 mwaka 2010 na mpaka sasa imefikisha zaidi ya watazamaji millioni 193,063,998. Willy Paul sasa anajiunga na wanamuziki wenzake Otile Brown na Bahati ambao wana zaidi ya wafuatiliaji (subscribers) […]

Read More
 Vdeo ya wimbo wa Willy Paul “Lalala” yafutwa Youtube

Vdeo ya wimbo wa Willy Paul “Lalala” yafutwa Youtube

Video ya wimbo wa Willy Paul ‘Lalala ambao amemshirikisha Jovial imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kutokana na malalamiko ya hakimiliki. Kwa sasa video hiyo ambayo ilikuwa na zaidi ya view laki 3 haipatikani kwenye mtandao huo kufuatia malalamiko ya hakimiliki kutoka kwa King Jones Official. Hata hivyo Willy Paul hajatoa tamko lolote kuhusu kufutwa kwa […]

Read More
 ERIC OMONDI AKOSHWA NA MATUKIO YA WILLY PAUL NA JOVIAL, ATAKA WASANII WAFUATE NYAYO ZAO

ERIC OMONDI AKOSHWA NA MATUKIO YA WILLY PAUL NA JOVIAL, ATAKA WASANII WAFUATE NYAYO ZAO

Mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi amekoshwa na kile kinachoendelea mtandaoni kati ya msanii Willy Paul na Jovial. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omondi amewapongeza wawili hao kwa hatua ya kuhalalisha mahusiano mtandaoni kitendo ambacho amehoji ni ubunifu wa hali ya juu wa kutengeneza matukio yatakayowasaidia kutangaza muziki wao mtandaoni. Mchekeshaji huyo ambaye kwa muda mrefu […]

Read More
 WILLY PAUL AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHIA WIMBO WAKE NA GUCHI

WILLY PAUL AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHIA WIMBO WAKE NA GUCHI

Staa wa muziki nchini Willy Paul amefunguka sababu za kutoachia wimbo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki kati yake na msanii wa Nigeria Guchi. Kwenye mahojiano na Mungai Eve Willy Paul amesema video ya ngoma hiyo ilivuja mtandaoni, kitendo ambacho kilimkasirisha na kuamua kufutilia mbali mchakato wa kuachia wimbo huo. Lakini pia ameweka wazi chanzo […]

Read More