Peter Miracle Baby Afichua Ukweli Kuhusu Mtoto wa Shalkido

Peter Miracle Baby Afichua Ukweli Kuhusu Mtoto wa Shalkido

Mwanamuziki Peter Miracle Baby, memba wa kundi la Sailors, amepuuzilia mbali madai kuwa marehemu Shalkido aliacha mtoto, akisisitiza kuwa taarifa hizo si za kweli. Akizungumza kwenye mitandao ya kijamii, Miracle Baby ameonekana kukerwa na kitendo cha mwanamke mmoja kujitokeza mtandaoni na kudai alizaa mtoto na Shalkido, akisema madai ya mwanamke huyo hayana msingi wowote kwani […]

Read More
 Raila Odinga afariki dunia nchini India

Raila Odinga afariki dunia nchini India

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80 nchini India, vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti. Kwa mujibu wa taarifa, Raila aliaga dunia kutokana na mshtuko wa moyo (cardiac arrest) alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Kochi, nchini India. Vyanzo vya karibu na familia vinaeleza kuwa Odinga […]

Read More
 Kenya Yatuma Waogeleaji 8 kwa Michezo ya Deaflympics Japan

Kenya Yatuma Waogeleaji 8 kwa Michezo ya Deaflympics Japan

Timu ya taifa ya uogeleaji ya Deaflympics imeboresha mazoezi yake ikijiandaa kushiriki katika makala ya mwaka huu ya michezo ya Deaflimpiki itakayoandaliwa jijini Tokyo Japan baina ya tarehe 15 na 26 mwezi ujao. Timu hiyo itaongozwa na nahodha Francis Gichuhi ambaye ataongoza kikosi cha waogeleaji wanane wakiwemo Lilian Njeri, Faith Wayua, Jimale Suheib, Salim Mbaraka, […]

Read More
 WhatsApp Yaja na Kipengele Kipya Kama Instagram Notes

WhatsApp Yaja na Kipengele Kipya Kama Instagram Notes

WhatsApp imeanza majaribio ya kubadilisha sehemu ya “About Status” kwa kuifanya ifanye kazi kama sehemu ya Instagram Notes. Mabadiliko haya yanawalenga watumiaji wanaotaka kuandika ujumbe mfupi unaoonekana kwa muda maalum bila kutuma ujumbe moja kwa moja au kuweka status ya kawaida. Kupitia kipengele hiki kipya, mtumiaji ataweza kuchagua kuandika ujumbe mfupi ambao utaonekana kwa muda […]

Read More
 Eddy Kenzo Awazuia Wasanii wa NUP Kupata Msaada

Eddy Kenzo Awazuia Wasanii wa NUP Kupata Msaada

Rais wa Shirikisho la Wanamuziki nchini Uganda, Eddy Kenzo, amezua gumzo baada ya kutangaza kuwa wasanii wanaoegemea chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine, hawatakuwa miongoni mwa wanaonufaika na msaada wa kifedha kutoka kwa shirikisho hilo. Kenzo amesema kuwa licha ya baadhi ya viongozi wa juu wa shirikisho, kama vile […]

Read More
 Eric Omondi Awahimiza Wasanii Kuhudhuria Ibada ya Wafu ya Marehemu Shalkido

Eric Omondi Awahimiza Wasanii Kuhudhuria Ibada ya Wafu ya Marehemu Shalkido

Mchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi ametoa wito kwa wasanii nchini Kenya kuhudhuria ibada ya wafu ya marehemu msanii wa Gengetone Shalkido, itakayofanyika Jumatano tarehe 15, katika kanisa la All Saints Cathedral, Nairobi, kuanzia saa 11:30 asubuhi. Kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Eric amewahimiza wasanii wa Kenya kuonyesha umoja na upendo kwa kuhudhuria ibada hiyo, akisema kuwa […]

Read More
 Nyce Wanjeri akiri mali zake kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa madeni

Nyce Wanjeri akiri mali zake kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa madeni

Mwigizaji maarufu wa Kenya, Nyce Wanjeri, amethibitisha kuwa baadhi ya mali zake zimepigwa mnada kufuatia changamoto kubwa za kifedha anazopitia kwa sasa. Kupitia mitandao yake ya kijamii, amesema kuwa ameshindwa kulipa madeni yake kwa wakati, hali iliyosababisha madalali (auctioneers) kuanza kuuza mali zake ili kufidia fedha wanazodaiwa. Mwigizaji huyo amesema hali hiyo imemweka kwenye wakati […]

Read More
  Kesi ya Talaka Yaibua Siri za Mali ya Akon

 Kesi ya Talaka Yaibua Siri za Mali ya Akon

Mwimbaji maarufu wa muziki wa R&B, Akon, anakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kisheria na kifedha baada ya mke wake, Tomeka Thiam, kufungua rasmi kesi ya talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka 29. Kwa mujibu wa taarifa zilizowasilishwa mahakamani, Tomeka anadai euro milioni 100 kama sehemu ya mgawanyo wa mali, akisema kuwa alichangia kwa […]

Read More
 Msanii Chipukizi Angel Atieno Aipa Kenya Heshima Nchini Urusi

Msanii Chipukizi Angel Atieno Aipa Kenya Heshima Nchini Urusi

Msanii chipukizi wa muziki kutoka Kenya, Angel Atieno, ameipa nchi yake heshima kubwa baada ya kushika nafasi ya tatu kwenye shindano maarufu la Our Generation Singing Competition lililofanyika nchini Urusi. Shindano hilo lilileta pamoja vijana wenye vipaji vya muziki kutoka nchi 16, ambapo binti huyo mwenye umri wa miaka 12 aling’aa kupitia wimbo wake wa […]

Read More
 Khaligraph Jones Awatolea Uvivu Wakosoaji wa Mavazi Yake

Khaligraph Jones Awatolea Uvivu Wakosoaji wa Mavazi Yake

Mkali wa Rap kutoka Kenya, Khaligraph Jones, amewatolea uvivu wakosoaji wanaobeza mtindo wake wa mavazi, akisema yeye si mtu wa kuvaa kiholela kama wanavyodhani. Kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii, rapa huyo ameonyesha wardrobe yake yenye mavazi ya aina mbalimbali, akibainisha kuwa kila vazi analolichagua linaendana na tukio au wakati husika. Khaligraph amesema kuwa […]

Read More