Baba Levo Amzawadia Mke Wake Range Rover

Baba Levo Amzawadia Mke Wake Range Rover

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ambaye pia ni msanii wa muziki, Baba Levo, amegusa hisia za wengi baada ya kumzawadia mke wake gari jipya aina ya Range Rover kama ishara ya shukrani kwa mchango wake mkubwa katika safari yake ya kisiasa. Akizungumza kuhusu zawadi hiyo, Baba Levo amesema mke wake alikuwa nguzo muhimu wakati […]

Read More
 Baba Levo Akanusha Taarifa za Kumkimbia Diamond Baada ya Kuteuliwa Mbunge

Baba Levo Akanusha Taarifa za Kumkimbia Diamond Baada ya Kuteuliwa Mbunge

Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, amejitokeza kufafanua madai yaliyosambaa mtandaoni yakidai kuwa angekimbia msanii Diamond Platnumz mara tu baada ya kuteuliwa kuwa mbunge. Akizungumza baada ya kukula kiapo nje ya majengo ya Bunge, Baba Levo amesema hajawahi na hatarajii kumkimbia Diamond, kwani ndiye mtu aliyemsaidia kupanda ngazi kutoka kudharauliwa na jamii hadi kuwa mtu […]

Read More
 Mbosso Amtaka Diamond Kuvunja Ukimya Kuhusu Kauli za Baba Levo

Mbosso Amtaka Diamond Kuvunja Ukimya Kuhusu Kauli za Baba Levo

Mwanamuziki Mbosso ameibuka na kuweka wazi msimamo wake kufuatia mvutano unaoendelea mitandaoni kati yake, Diamond Platnumz, na Baba Levo, kuhusu tuhuma za kushirikiana kumchafua kwa jina au kazi zake. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Mbosso amesema kwa uwazi kuwa hana ukaribu wowote na Baba Levo, na hivyo hawezi kushirikiana naye kwa jambo lolote, tofauti na […]

Read More
 Baba Levo ahaidi kumsaidia Anjella baada ya Harmonize kumkimbia

Baba Levo ahaidi kumsaidia Anjella baada ya Harmonize kumkimbia

Sakata la Harmonize na msanii wake Anjella limemgusa mwanamuziki wa Bongofleva Baba Levo ambaye ameweka wazi atamsaidia msanii huyo matibabu ya mguu wake kwa kumpeleka India na Qatar. Kupitia ukurasa wake instagram Baba Levo amesema “Dada Anjella Naitwa Baba Levo NAKUHAKIKISHIA UTAENDA QATAR NA UTAENDA INDIA PIA KWA AJILI YA MATIBABU …!! KIRANDAGE PAMOJA NA […]

Read More
 LINEX AMCHANA BABA LEVO KWA MADAI YA KUMZUNGUMZIA VIBAYA

LINEX AMCHANA BABA LEVO KWA MADAI YA KUMZUNGUMZIA VIBAYA

Mwanamuziki wa Bongofleva Linex mjeda ameamua kumtolea uvivu baba levo baada ya msanii huyo kuendelea kuongelea maisha yake mara kwa mara kwenye vyombo vya habari Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linex amemchana Baba Levo kuwa aache kuongelea maisha yake kwenye redio kwani jambo hilo linamkosesha amani huku akimuomba baba levo msamaha kama amewahi kumkosoa. Linex […]

Read More