Barnaba Classic: Niliwahi kulala studio na hata kuwa mpishi THT kufuatilia ndoto zangu

Barnaba Classic: Niliwahi kulala studio na hata kuwa mpishi THT kufuatilia ndoto zangu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Barnaba Classic amefunguka kuhusu changamoto alizopitia mwanzoni mwa safari yake ya muziki, akisema aliwahi kulala studio na kufanya kazi mbalimbali ikiwemo usafi hadi kupika alipokuwa chini ya taasisi ya kukuza vipaji ya Tanzania House of Talent (THT). Barnaba amesema kipindi hicho alikuwa chini ya uongozi wa marehemu Ruge Mutahaba […]

Read More
 Barnaba Classic Awaonya Vijana wa Gen Z Kuhusu Ndoa

Barnaba Classic Awaonya Vijana wa Gen Z Kuhusu Ndoa

Msanii wa muziki wa Bongoflava, Barnaba Classic, amewataka vijana wa kizazi cha Gen Z kuwa waangalifu wanapofanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa, akisisitiza kuwa tamaa za mwili pekee hazitoshi kujenga ndoa imara. Kupitia ujumbe aliotoa hivi karibuni, Barnaba amesema kuwa vijana wengi siku hizi wanaingia kwenye mahusiano ya ndoa wakiongozwa na hisia za muda mfupi […]

Read More
 Barnaba Classic Awataka Wasanii Kusajili Majina Yao ya Kisanii

Barnaba Classic Awataka Wasanii Kusajili Majina Yao ya Kisanii

Msanii wa BongoFleva Barnaba Classic ametoa wito kwa wasanii na wadau wa sanaa nchini Tanzania kuhakikisha wanasajili majina yao ya kisanii pamoja na misemo wanayotumia mara kwa mara, ili kuepuka migogoro ya kisheria inayoweza kujitokeza baadaye. Akizungumza kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Barnaba amesema wasanii wengi wamekuwa wakichukulia poa suala la usajili wa majina na […]

Read More
 Barnaba Classic awapa somo wasanii kuhusu nidhamu kwenye kazi zao

Barnaba Classic awapa somo wasanii kuhusu nidhamu kwenye kazi zao

Mwimbaji nyota wa muziki wa Bongofleva, msanii Barnaba Classic amewakumbusha wasanii wenzake kuwa na heshima pamoja na nidhamu kwa watu wengine. Barnaba ametumia insta story yake kuwatahadharisha wakumbuke kuna kesho.. “Ndugu zangu wasanii tujifunze heshima na kuheshimu mipaka yetu ya kazi kwa kila mmoja. Lakini pia tujifunze kuwa na upendo kweli na kutoleta mashauzi Mbuzi ambayo kuna […]

Read More
 Barnaba Classic ampa nyota Diamond Platnumz

Barnaba Classic ampa nyota Diamond Platnumz

Mwanamuziki wa Bongofleva Barnaba Classic ameamua kumpa Diamond Platnumz maua yake akiwa hai kwa kushiriki kwa asilimia kubwa sana kwenye kuufanya mwaka 2022 kuwa wenye mafanikio kwake. Kupitia Instastory yake amemshukuru Bosi huyo wa WCB kwa kuandika ,”Asante sana Mungu akubariki, umetenda pakubwa sana. Mungu akupe njia njema wengi tufaidike na uwepo wako. Unaroho ya […]

Read More
 BARNABA CLASSIC ATIMIZA NDOTO YA KUFANYA KAZI NA MALKIA WA MIPASHO BI. KHADIJA KOPA

BARNABA CLASSIC ATIMIZA NDOTO YA KUFANYA KAZI NA MALKIA WA MIPASHO BI. KHADIJA KOPA

Mwanamuziki nyota kutoka nchini Tanzania Barnaba Classic ametimiza ndoto nyingine kubwa katika hatua za kukamilisha Album yake ijayo ambayo amewashirikisha wakali kibao. Barnaba kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kutimiza ndoto yake ya kufanya kazi na Malkia wa taarab Bi. Khadija Kopa huku akithibitsha kuwa atakuwa miongoni mwa walioshirikishwa kwenye Album yake ijayo. Hata hivyo […]

Read More
 BARNABA KUMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE RAYA

BARNABA KUMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE RAYA

Staa wa muziki wa Bongofleva Barnaba Classic yupo mbioni kuufungua ukurasa mwingine wa mapenzi kwa tukio la kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi bibie Raya The Boss ikiwa ni kiashiria cha kuelekea katika ndoa. Barnaba amebainisha ujio wa jambo hilo la kheri kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare picha ya pete […]

Read More