Sports news

SAMUEL ETO’O ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA CAMEROON

SAMUEL ETO’O ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA CAMEROON

Nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto‘o amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini Cameroon (FECAFOOT).
Eto‘o Fils mwenye umri wa miaka (40) ataliongoza Shirikisho hilo kwa kipindi cha miaka Minne.

Samuel Eto’o katika historia ya soka amewahi kushinda tuzo za mchezaji bora Afrika mwaka 2003, 2004, 2005 na 2010.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *