Female Rapper kutoka Kenya Femi One amesema muonekana wa msanii mbele ya mashabiki wake una nafasi katika kuuza muziki wake anaofanya.
Femi One amesema kuwa msanii si kuandika nyimbo tu na kuingia studio kurekodi bali hata muonekano wake ni kitu cha kuzingatia.
Hitmaker huyo wa “Utawezana” amesema kuwa muuoneka wake ndio imempa dili mbali mbali za kumuingizia kipato kila kitu kwake ijapokuwa muda mwingine inakuwa tabu kwake kwa kuwa baadhi ya mashabiki wake hufikiri ana fedha nyingi kitu ambacho si kweli.